Skip to main content
Skip to main content

Shughuli tele zashuhudiwa jijini Nairobi siku ya wapendanao #valentinesday

  • | KBC Video
    324 views
    Duration: 2:52
    Jiji la Nairobi lilipambwa kwa rangi nyekundu hii leo, huku wakazi wakiungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya wapendanao almaarufu ‘Valentine’s Day’. Biashara ya uuzaji wa maua na vifurushi vya zawadi ilinoga, huku wateja wakinunua maua mekundu, mvinyo na chokoleti miongoni mwa bidhaa nyingine. Hata hivyo wafanyibiashara walisema kiwango cha biashara kilikuwa cha chini ikilinganishwa na miaka ya awali hali ambayo walisema inatokana na hali ngumu ya kiuchumi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive