Shughuli ya kumtafuta mwenyekiti mpya wa tume huru ya uchaguzi na mipaka ,IEBC, yakamilishwa

  • | K24 Video
    53 views

    Shughuli ya kumtafuta mwenyekiti mpya wa tume huru ya uchaguzi na mipaka ,IEBC, imekamilishwa leo na jopo la uteuzi. Waliohojiwa walikabiliwa na maswali tofauti kuhusu uadilifu wao walikokuwa wakihudumu.