Shughuli ya kutafuta makamishna wanne wa IEBC iliingia awamu yake ya tatu

  • | KBC Video
    Shughuli ya kutafuta makamishna wanne watakaohudumu katika tume huru ya uchaguzi na mipaka iliingia awamu yake ya tatu huku wale wanaotarajiwa kusailiwa wakisalia watatu. Hii leo Simeon Pkiyach Pkateymutet, Timothy Tipilu Ole Naeku na Zippy Nzisa Musyimi walifika mbele ya jopo la usaili. Wote walielezea kuhusu mipango yao ya jinsi watakavyosimamia chaguzi pamoja na kulinda uhuru wa tume hiyo, huku Pkiyach akikosoa pendekezo linalolazimu wawaniaji wa nafasi za kisiasa kuwa na shahada ya chuo kikuu. Timothy Kipnusu anatuarifu zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNews #Kenya