Shughuli ya kutafuta mwili wa afisa aliyekufa maji yaendelea

  • | KBC Video
    57 views

    Shughuli ya kutafuta mwili wa afisa mmoja wa polisi aliyesombwa na mafuriko tarehe 24 mwezi jana alipokuwa akijaribu kuokoa familia iliyokwama jijini Nairobi imeingia siku ya 19 sasa na mwili wa marehemu Konstabo David Chesire bado haujapatikana. Kitengo cha kitaifa cha kukabiliana na majanga, shirika la kitaifa la huduma ya polisi, shirika la msalaba mwekundu pamoja na mashirika mengine ya serikali leo yalizindua awamu ya tatu ya operesheni ya kutafuta na kuondoa mwili wa marehemu. Abdiaziz Hashim na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News