Shughuli ya kutafuta ndege wa Rais wa Malawi na watu wengine tisa iliyotoweka, inaendelea

  • | NTV Video
    2,111 views

    Shughuli ya kutafuta ndege iliyokuwa imembeba Makamu wa Rais wa Malawi Saulos Chilima na watu wengine tisa inaendelea huku ofisi ya rais wa nchi hiyo ikisema vikosi vya kijeshi vimepewa amri ya kutositisha harakati hizo hadi waipate ndege hiyo. Wakuu wa kijeshi wanasema huenda ndegew hiyo ya kijeshi ilianguka katika msitu wa Chikangawa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya