19 Aug 2025 1:41 pm | Citizen TV 494 views Duration: 1:41 Kupitia mpango huo, jamii na waendeshaji wa pikipiki watahusishwa katika kuhamasisha ulinzi wa punda, huku ukaguzi wa magari ukipangwa katika vizuizi vya barabara ili kubaini usafirishaji wa nyama na ngozi ya punda.