Wadau wahimiza umuhimu wa kuboresha elimu Mashinani

  • | Citizen TV
    108 views

    Wadau wa elimu katika kaunti ya Samburu wametoa wito kwa jamii nzima kushirikiana ili kuinua viwango vya elimu katika eneo hilo.