Shughuli ya ukarabati wa barabara umeanzishwa na gavana wa Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    404 views

    Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia, George Natembeya ameanzisha rasmi shughuli ya ukarabati wa barabara za mashinani ili kurahisisha usafiri, hususan kwa wakulima wanaolalamikia kuharibika kwa mazao yao kwa kukosa kufika sokoni kutokana na ubovu wa barabara.