Shughuli ya upigaji kura yacheleweshwa kwa muda mrefu

  • | BBC Swahili
    1,938 views
    Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamepigia kura kumchagua rais ajaye katika uchaguzi mkuu nchini humo. Wapiga kura walimiminika katika vituo vya kupigia kura mjini Kinshasa licha ya zoezi hilo kuchelewa kuanza katika vituo vingi. #bbcswahili #drc #uchaguzidrc2023 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw