Shughuli za biashara wakati wa usiku zaanza kurejea Nyeri

  • | K24 Video
    129 views

    Kuongezeka kwa wakazi hasa wanafunzi ndani ya mji wa Nyeri na biashara katika maeneo ya burudani vimetajwa kama sababu ambazo zimeufufua mji wa Nyeri, ambao kwa mda mrefu ulionekana hauna shughuli pindi giza liingiapo. Wanaofanya biashara wanasema biashara za usiku zimeanza kurejea japo si kama ilivyokuwa kabla ya wimbi la visa vya ukosefu wa usalama.