Skip to main content
Skip to main content

Shughuli za kawaida zarejea katika soko la Malava baada ya uchaguzi ndogo

  • | NTV Video
    850 views
    Duration: 3:02
    Shughuli za kawaida zimeanza kurejea katika soko la Malava eneo bunge la malava kaunti ya kakamega baada ya kutangazwa kwa mshindi wa uchaguzi mdogo uliyofanyika eneo Hilo hapo Jana ambao ulimpa David ndakwa wa uda kura 21,564 na kufuatwa kwa karibu na mwenzake wa dap-k Seth panyako kwa kura 20,210. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya