Shughuli za kuwasilisha dawa za kichocho zaanza katika kaunti ya Migori

  • | Citizen TV
    92 views

    Shughuli za kuwasilisha dawa za kichocho na magonjwa yanaosambazwa kwenye udongo (hookworms,helminths Ascaris na whipworms) umeanza katika kaunti ya Migori. Zoezi hilo ambalo linalenga wakazi wa Migori kutoka wadi 33 kati ya wadi 40 katika kaunti hiyo zilizo na visa vingi vya magonjwa yaliyotajwa liliaanza tarehe 24 hadi 27 Agosti 2023.