20 Aug 2025 10:15 am | Citizen TV 251 views Duration: 1:57 Shughuli za vikao vya mahakama zilitatizwa hapo jana katika mahakama ya Bomet baada ya watu wasiojulikana kuteketeza baadhi ya ofisi yenye stakabadhi muhimu katika korti hiyo usiku wa kuamkia jana