Skip to main content
Skip to main content

Shughuli za upigaji kura zimechelewa kuanza Uganda

  • | BBC Swahili
    19,196 views
    Duration: 1:24
    Shughuli za upigaji kura zimechelewa kuanza katika maeneo mengi nchini Uganda. Awali ilitarajiwa kuwa vituo vingefunguliwa saa moja asubuhi, lakini kufikia saa mbili na nusu asubuhi, wapiga kura walikuwa bado hawajaanza kupiga kura. Zaidi ya raia milioni 21 wanatazamiwa kushiriki uchaguzi wa leo kuwachagua rais na wabunge. Mwanahabari wetu @RoncliffeOdit amezuru vituo kadhaa na anaripoti kwamba mashine za kuwatambua wapiga kura ndio changamoto kubwa. 📹 @eagansalla_gifted_sounds - - #bbcswahili #ugandaelections2026 #uganda #uongozi #kura Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw