Shughuli za usafiri zatatizika katika barabara ya Shell-Pombo Tano, Bungoma

  • | Citizen TV
    1,334 views

    Shughuli Za Usafiri Zimetatizika Katika Barabara Ya Shell-Pombo Tano Katika Wadi Ya Township Eneo Bunge La Kadungi Kaunti Ya Bungoma, Baada Ya Wakaazi Wenye Gadhabu Kupanda Migomba Kulalamikia Hali Duni Ya Barabara Hiyo.