Shughuli zimeendelea kutatizika hospitali za umma

  • | Citizen TV
    468 views

    Haya yakijiri, imekuwa siku nyingine ambapo maelfu ya wagonjwa wanaotafuta huduma katika hospitali za umma wameendelea kuhangaika kutokana na mgomo huu unaotarajiwa kufikisha mwezi mmoja hapo kesho. Jamaa wamelazimika kuondoka na wagonjwa hospitali kutokana na mgomo huu wa madaktari, maafisa kliniki na hata maafisa wa maabara.