Skip to main content
Skip to main content

Shujaa wa Mowlem | Safari ya Ann Wambui kulea watoto wenye mahitaji maalum

  • | Citizen TV
    92 views
    Ann Wambui Kimone anajulikana kama mlezi wa watoto wenye ulemavu kwenye shughuli ambayo alianza wakati wa janga la Corona. Ann ambaye ni mwalimu amekuwa matumaini kwa watoto wengi ambao wanamtegemea kwa masomo na mahitaji ya kimsingi katika eneo la Mowlem hapa Nairobi. Je ni kipi kilichomsukuma kuchukua jukumu zito la ulezi huu na kipi kinachompa nguvu ya kuendelea kila uchao?