Shule 1,900 zaathirika na mafuriko nchini

  • | Citizen TV
    92 views

    Huenda shule kadhaa katika kaunti saba zikakosa kufunguliwa jumatatu kama ilivyoagizwa na rais william ruto hapo jana.