Shule 21 kutoka eneo la Kipkelion Mashariki kunufaika na ujenzi wa madarasa mapya

  • | Citizen TV
    88 views

    Takriban Shule 21 kutoka eneo la Kipkelion Mashariki zitanufaika na ujenzi wa madarasa mapya kama njia moja ya kuendeleza masomo katuika eneo hilo.