SHULE BILA MASOMO SAMBURU

  • | KBC Video
    8 views

    Wazazi katika shule ya msingi ya Misigiyoi iliyoko eneo la Kisima kaunti ya Samburu walifanya maandamano ,wakitaka kuhamishwa kwa mwalimu mkuu,naibu wake na baadhi ya walimu.Wazazi wanadai kuwa kwa miaka mingi kumekuwa na uhaba wa masomno huku wanafunzi wakirejea nyumbani bila madfatari yao kuandikwa chochote.Walimu hao pia wamesutwa kwa kubadilisha shule hiyo kuwa shamba la ufugaji wa kuku .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive