Shule Katikati ya mbuga ya wanyama

  • | BBC Swahili
    565 views
    Shule hii ya kontena iliyopo katika hifadhi ya mbali ya wanyamapori katika jimbo la kusini la India la Telangana inawapa watoto wa kijijini fursa ya kujifunza na kusoma katika mazingira salama zaidi. #bbcswahili #india #mazingira Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw