- 42 views
Shule kote nchini zitafunguliwa kwa muhula wa pili kama ilivyoratibiwa licha ya mvua inayoendelea kunyesha, huku serikali ikisema imeweka mikakati ya kutosha kuhakikisha usalama wa wanafunzi. Jijini Nairobi, waathiriwa wa mafuriko ambao wametafuta hifadhi katika taasisi za masomo watahamishwa hadi kambi tatu maalum kwenye uwanja wa Masinde Muliro katika eneo la Huruma, kambi ya manaibu machifu ya Mavoko na Kasarani,sawia na maeneo mengine nchini. Lakini kutokana na mvua inayoendelea kunyesha, waathiriwa walioachwa bila makazi kutokana na mafuriko wanaelezea masaibu yao wakitoa wito kwa serikali kuingilia kati na kuepusha mzozo wa kibinadamu.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News
Shule kote nchini zitafunguliwa kwa muhula wa pili kama ilivyoratibiwa
- - CATCH K24TV LIVE ››
- 1 Jun 2025 - President Musar emphasized the shared values between Slovenia and Kenya, particularly a firm belief in the role of the United Nations, international law, and open dialogue in solving today’s global challenges.
- - 62nd Madaraka Day fete
- 1 Jun 2025 - The items will either be sold through public auction or private treaty.
- 1 Jun 2025 - Sakaja has warned that Nairobi County officials will take action.
- 1 Jun 2025 - Moscow Railway alleged the bridge had collapsed "as a result of illegal interference in transport operations".
- 1 Jun 2025 - This year's Madaraka Day is being held at Raila Odinga Stadium in Homa Bay County.
- 1 Jun 2025 - President Ruto is expected to lead the Madaraka Day celebrations at the stadium on Sunday.
- 1 Jun 2025 - The Woman Rep emphasized that her marriage is built on mutual respect, support, and a deep understanding of one another.
- 1 Jun 2025 - Crowds of civilians rushed aid trucks in Gaza as hunger and desperation create chaotic scenes.
- 1 Jun 2025 - Homa Bay County has been a beehive of activities in the last few months thanks to being host of the Madaraka Day national celebrations.