Shule kumi na tisa zafungwa katika eneo la Baringo Kaskazini kufuatia ukosefu wa usalama

  • | Citizen TV
    373 views

    Shule kumi na tisa zimefungwa katika eneo la Baringo Kaskazini kufuatia ukosefu wa usalama unaosababishwa na wezi wa mifugo. familia zaidi ya elfu mbili zimehama kwao na kuhitaji usaidizi wa dharura kwenye kambi mbalimbali. Na kama ripota wetu Maryanne Nyambura anavyoarifu sasa, ukosefu wa usalama na mapigano ya mara kwa mara katika kaunti sita za bonde la Ufa umeibua maswali kuhusu uwezo wa serikali kukabiliana na wahalifu hao .