Skip to main content
Skip to main content

Shule mbalimbali zaanzisha kilimo cha bustani Samburu

  • | Citizen TV
    712 views
    Duration: 3:02
    Usimamizi wa shule mbalimbali katika kaunti ya Samburu umeanza kukumbatia mpango wa kitaifa unaoendeshwa na mama wa taifa Rachael Ruto maarufu kama "Mama kitchen garden" ili kuongeza chakula shuleni. Mkewe rais anatarajiwa kuzindua rasmi mpango huo katika shule ya upili ya wasichana ya Kisima Kaunti ya Samburu mchana wa leo.