Shule mbili zateketea katika kaunti ya Makueni

  • | Citizen TV
    2,915 views

    Haya yakiarifiwa, katika kaunti ya Makueni, shule mbili zimeteketea jana usiku. katika mikasa miwili ya jana usiku, mabweni ya shule za Maiani boys eneo la Mukaa na St. Peters Clever Kithuki huko Kathonzweni ziliteketea.