Shule moja katika Kaunti ya Samburu imetoa wito kwa wasamaria wema kuwasaidia katika ujenzi wa vyoo

  • | KBC Video
    22 views

    Shule moja katika eneo bunge la Samburu Kaskazini, Kaunti ya Samburu imetoa wito kwa wasamaria wema kuwasaidia katika ujenzi upya wa vyoo katika shule hiyo

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News