Shule na taasisi za umma zaanza kutumia kawi safi eneo la Kajiado

  • | Citizen TV
    96 views

    Shule za Umma Na taasisi za elimu zimeanza kugeukia utumizi Wa kawi safi kwa kupunguza gharama ya kawi. Aidha shule zimeanza kuafikia hili kuambatana na agizo la Rais William Ruto kutaka mabadiliko ya kawi.