Shule nyingi zakumbaltia nishati ya jua kaunti ya Bungoma

  • | Citizen TV
    116 views

    Shule za upili katika eneo la Magharibi mwa Kenya sasa zimeanza kutumia nishati mbadala kama njia ya kulinda mazingira na kupunguza gharama ya umeme