Shule ya Gatoto Nairobi yakabiliwa na zogo kuhusu usimamizi

  • | KBC Video
    442 views

    Wazazi wa wanafunzi wa shule ya Yago Primary School katika kaunti ya Homa Bay waliandamana kushinikiza kuhamishwa mara moja kwa mwalimu mkuu wa shule hiyo Elisha Gunga. Maandamano hayo yalichochewa na madai ya ufisadi na usimamizi mbaya. Inadaiwa kuwa Gunga alishindwa kufanikisha mchakato wa wanafunzi kuhamia katika shule ya Junior Secondary. Kwingineko, wazazi na wakurugenzi wa shule ya Gatoto Integrated Development Program wanalalamikia hatua ya kuhamishiwa kwa taasisi hiyo kutoka umiliki wa kibinafsi hadi umiliki wa umma.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive