Shule ya Kabulokor eneo la Loima ilishambuliwa majuzi

  • | Citizen TV
    787 views

    Hali ya usalama tete imeendelea kuathiri shughuli za elimu katika kaunti ya Turkana ambako shule ya msingi ya Kabulokor eneo bunge la Loima imekuwa ya punde zaidi kufungwa. Hii ni baada ya wavamizi kushambulia shule hiyo na kuanza kufyatua risasi. Tukio hili liliwalazimu walimu na wanafunzi kutoroka shuleni