Shule ya Kieni Magharibi, kaunti ya Nyeri imepokonywa basi lake, inadaiwa Sh11.8m

  • | NTV Video
    258 views

    Hatima ya shule ya upili ya wavulana ya Watuka, iliyoko Kieni Magharibi, Kaunti ya Nyeri, iko katika hali ya suitafahamu kufuatia deni la shilingi milioni 11.8 linalodaiwa na wasambazaji wa bidhaa.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya