Shule ya Kipkombot inakumbwa na changamoto nyingi ikiwa idadi ndogo ya wanafunzi na walimu

  • | Citizen TV
    451 views

    Shule ya msingi ya Kipkombot iliyoko katika eneobunge la Mosop kaunti ya Nandi inakumbwa na changamoto nyingi ikiwa idadi ndogo ya wanafunzi na walimu. Hali hiyo inasababisha shule hiyo kuendelea kupata matokeo duni katika mitihani wa kitaifa.