Shule ya kwanza katika wadi ya Silale eneo bunge la Tiaty, kaunti ya Baringo yafunguliwa

  • | K24 Video
    4 views

    Katika juhudi za kuendeleza masomo, shule ya kwanza ya sekondari imefunguliwa katika wadi ya Silale, eneo bunge la Tiaty, kaunti ya Baringo. Eneo hilo kwa muda mrefu limegonga vichwa vya vya habari kutokana na visa vya wizi wa mifugo.