- 1,228 viewsDuration: 3:26Jioni ya leo tunaelekeza darubini yetu ya elimu katika shule moja ya msingi ya umma katika kaunti ya Kisii ambayo hali yake si ya kuridhisha kabisa. Mbali na madarasa ya shule hiyo ya Nyacheki PAG kuharibika kabisa na wanafunzi kulazimika kusalia nyumbani kunaponyesha, walimu pia hawana hata ofisi ya hadhi. Sasa mamia ya wanafunzi wa shule hiyo wanaitaka serikali kuwaokoa