- 503 viewsDuration: 3:51Mtazamaji hebu fikiri hili, madarasa mawili yanayosomeshwa kwa wakati mmoja! Hii ndio hali ya wanafunzi na walimu katika shule ya Enairurukoi maeneo ya Esoit Transmara kaunti ya Narok. Na si hayo tu, shule hii ya msingi pia imekosa hata mahitaji ya kimsingi ya kuendesha shule na mazingira mabovu kwa walimu na wanafunzi.