Shule ya msingi ya Uthiru Genesis yasherehekea matokeo bora ya KCPE mwaka 2020

  • | KBC Video
    Shule ya msingi ya Uthiru Genesis huko Kinoo kwenye barabara ya Waiyaki ni miongoni mwa shule zinazosherehekea matokeo bora ya mtihani wa kitaifa wa darasa la nane-KCPE wa mwaka 2020. Shule hiyo iliyoanzishwa mwaka 1991 na iliyokuwa na jumla ya watahiniwa 15, ilipata alama wastani 361.12 kwa alama 72. Wanafunzi bora katika shule hiyo wanahusisha Iliana Barasa ambaye ni bintiye mfanyikazi wa shirika hili la KBC Betty Barasa aliyeuawa na majambazi Aprili 7 mwaka 2021 nyumbani kwake huko Oloolua Ngong, katika kaunti ya Kajiado. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive