Skip to main content
Skip to main content

Shule ya St. Georges yafungwa kwa muda usiojulikana

  • | Citizen TV
    16,259 views
    Duration: 2:59
    Shule ya upili ya wasichana ya St. Georges Nairobi imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya wanafunzi kuzua rabsha usiku wa kuamkia leo. Wasichana hao walikuwa wanalalamikia kile walichodai ni kupigwa kwa mwanafunzi mmoja na mwalimu wa shule hiyo.