Shule ya St. Marys Thigio yafungwa kwa muda usiojulikana

  • | Citizen TV
    451 views

    Shule ya upili ya wasichana ya St. Mary's Thigio kaunti ya Kiambu imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya bweni la shule hiyo kuteketea Jumamosi iliyopita.