Shule ya upili ya Silibwet Nyandarua yatuzwa kutokana na juhudi za kutunza mazingira

  • | Citizen TV
    287 views

    Tuzo za mazingira Shule ya upili ya silibwet nyandarua yatuzwa shule hiyo imeorodheshwa kumi bora duniani Hii ni kutokana na juhudi zakutunza mazingira