Shule ya upili ya Tipet, kaunti ya Pokot Magharibi iko katika hali mbaya

  • | Citizen TV
    412 views

    Wanafunzi katika shule ya upili ya Tipet Kaunti ya pokot magharibi, wanakabiliwa na hali ngumu ya kuendeleza masomo yao kwa kukosa miundo msingi bora. Madarasa katika shule hiyo hayana bao na madawati na kusababisha wanafunzi kutatizika mno wanapojaribu kukata kiu ya masomo.