Shule ya Upili ya wavulana ya Lari imefungwa kwa muda usiojulikana kufuatia mkasa wa moto

  • | KBC Video
    120 views

    Uchunguzi unaendelea katika kaunti ndogo ya Lari, kutafuta kiini cha kisa cha moto katika shule ya upili ya wavulana ya Lari High iliyo kaunti ya Kiambu. Shule hiyo ilifungwa kwa muda usiojulikana hivi leo, kufuatia kisa hicho cha moto uliosababisha uharibifu mkubwa wa mali. Duru zinaarifu kwamba kisa hicho kiliibuka kufuatia mzozo baina ya wanafunzi na usimamizi kuhusu burudani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive