Shule ya Upili ya Wavulana ya St. Mary’s Kibabii yapandishwa ngazi na kuwa shule ya kitaifa

  • | NTV Video
    219 views

    Baada ya kungojwa kwa muda mrefu ili kupewa kibali na Wizara ya Elimu kuwa shule ya kitaifa, hatimaye Shule ya Upili ya Wavulana ya St. Mary’s Kibabii imepandishwa ngazi na kuwa shule ya kitaifa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya