shule za kiufundi zashiriki siku tatu kaunti ya Meru

  • | Citizen TV
    131 views

    Gavana wa Meru Isaac Mutuma Amefungua mashindano ya siku tatu ya Michezo kwa wanafunzi wa Shule za kiufundi kutoka Meru, na kusihi vijana kuzingatia talanta zao na Masomo ili wajiendeleze kimaisha