Shule za umma zazindua upanzi wa miti 33,000 eneo la Kaloleni, Kilifi

  • | Citizen TV
    122 views

    shule za umma eneo bunge la Kaloleni kaunti ya Kilifi zimezindua upanzi wa miti katika shule zote eneo hilo ili kukabiliana na ukame na kutunza mazingira.