Shule zafunguliwa kwa mhula wa tatu | Wazazi walalamikia kuchelewa kwa mgao wa wanafunzi

  • | Citizen TV
    367 views

    Shule zimefunguliwa kwa muhula wa tatu hii leo huku wazazi wakielezea wasiwasi kuhusiana na kucheleweshwa kwa mgao wa wanafunzi. Hata hivyo, imekuwa siku iliyokuwa na pilka pilka nyingi nchini huku wanafunzi wakirejea shule sehemu mbalimbali nchini