Shule zote za umma zafunguliwa leo

  • | KBC Video
    215 views

    Waziri wa elimu Julius Migos amekanusha madai kuwa serikali haijajiandaa vyema kushughulikia wanafunzi walio chini ya mfumo mpya wa elimu ya CBC. Akizungumza katika Kaunti Ndogo ya Kajiado Kaskazini siku ya Jumatatu alipokuwa akikagua ujenzi wa madarasa mapya, Migos aliwahakikishia wazazi mpito wa asilimia 100 kutoka shule za msingi hadi za Junia Sekondari. Aidha alisema kuwa wizara ya elimu imejenga madarasa 13,500 kati ya 16,000 vinavyodhamiriwa ili kufanikisha mpito huo.Timothy Kipnusu na taarifa hiyo kwa kina.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive