Siasa kuhusu IEBC

  • | Citizen TV
    234 views

    Tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC sasa inajitenga na tuhuma za baadhi ya wanasiasa kuhusu uwazi wake kwenye uchaguzi mkuu ujao. Taarifa ya IEBC jioni ya leo ikipuuza matamshi ya baadhi ya wanasiasa ikisema tume hiyo iko tayari kwa kibarua na itafanya kazi yake kwa haki na uwazi. Haya yanajiri huku mdahalo kuhusu IEBC ukiendelea nchini, huku matamshi ya mwakilishi wa kike wa Wajir Fatuma Abdi Jehow kuhusu eneo la kaskazini mashariki kuwa tayari kumuibia rais kura yakikosolewa