Siasa ya majibizano yazuka Bungoma viongozi wakitakiwa kuwajibika

  • | West TV
    166 views
    Mbunge wa kimilili didmus barasa amewataka wananchi wa kenya kuipa muda serikali ya kenya kwanza kutekeleza ahadi zake licha ya kushuhudiwa changamoto za kiuchumi