Siasa za 2027 Wamunyoro

  • | Citizen TV
    949 views

    Aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua amekuwa mwenyeji wa upinzani hii leo. Kalonzo, Matiangi, Karua, Wamalwa wakiwa baadhi ya viongozi waliokuwa mahala pale.