Siasa za 'hustler' zatawala uzinduzi wa BBI

  • | TV 47
    SIASA ZA 'HUSTLER' ZATAWALA BBI Siasa za 'hustler' hii leo zimesheheni katika uzinduzi rasmi wa ripoti ya BBI huku Naibu wa Rais William Ruto akisisitiza kuwa lazima ripoti hiyo iangazie Mkenya wa kawaida. #TV47News